Ajabu na Kweli...Ng'ombe Azaliwa Akiwa na Vichwa Viwili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakazi wa kijiji cha Gitiri, wadi ya Ng’araria, kaunti ya Muranga Jumatano, Oktoba 17 walishangazwa na tukio ambapo ng’ombe mmoja alijifungua ndama aliyekuwa na maumbile yasio ya kawaida yenye vichwa viwili, miguu mitano, nyuti mbili za ngongo na mikia miwili.

Mmiliki wa ng’ombe huyo Joyce Muthoni aliyezungumza na kwa njia ya simu alisema kuwa ng’ombe wake alionyesha dalili ya kujifungua Ju
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad