Angalia Matokeo ya mechi za leo ligi kuu Tanzania bara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo Oktoba 20 Ligi kuu Tanzania bara imeendelea kwa timu nane kumenyane katika viwanja vinne zikisaka alama tatu ili kujihakikishia inajiwekea mazingira mazuri katika msimamo wa ligi hiyo. 

Katika mchezo uliopigwa majira ya saa 8 mchana katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya uliowakutanisha wenyeji Tanzania Prisons na Singida United umemalizika 0 - 0. 

Mchezo mwingine ni ule uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, uliowakutanisha mabingwa wa kihistoria wa ligi hiyo Yanga na Alliance kutokea jijini Mwanza, ambapo wenyeji wameibuka na ushindi wa goli 3 - 0. Huku Ibrahim Ajib, Haritier Makambo na Mrisho Ngasa wakithibitisha ubora wao kwa kuandika mabao hayo 

Haya hapa Matokeo ya michezo yote minne ya ligi kuu bara mzunguko wa 10  
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad