Babu Tale: Hawa Anatakiwa Kufanyiwa Upasuaji Mkubwa Wataalamu Hawajaona Tatizo la Ini Ila ni Moyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Babu Tale: Hawa Anatakiwa Kufanyiwa Upasuaji Mkubwa Wataalamu Hawajaona Tatizo la Ini Ila ni Moyo
Meneja wa Daimond Hamisi Shabani Taletale maarufu kama Babu Tale ameto taarifa ya kwanza toka afike India kwaajili ya matibabu mwanadada Hawa na kudai kuwa wataalamu wadedai kuwa Hawa anatakiwa kufanyiwa upasuaji mkubwa utakua na uangalizi mkubwa wa wataamu kutokana na tatizo alilokuwa nalo.

Babu Tale ameendelea kusema kuwa Hawa alifanyiwa vipimo upya  na jibu lililotoka kwa wataalamu kuwa kwa asilimia 95% wataalamu awajaona tatizo linalohusiana na ini kwa mgonjwa ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini.

Asante Mungu tumefika salama India na tumefanya vipimo vyote upya salama na jibu lililotoka kwa wataalamu kwa asilimia 95% awajaona tatizo linalohusiana na ini kwa mgonjwa ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini ivyo basi kutaitajika kufanyika upasuaji mkubwa ambao utakua na uangalizi mkubwa wa wataamu then wametuakikishia baada ya hapo mgonjwa atapata nafuu na inawezekana izo 5% zilizobaki itakua poa na tatizo la ini alitokuwepo kikubwa tunaomba mtuombee dua na msiache kumuombea pia @diamondplatnumz apatenguvu ya kuendela kumsaidia kwa maana kutoa ni moyo. Kikubwa sana naomba tumuombee Hawa coz anaingia kwenye upasuaji mkubwa na hii ni atua ya yeye kua salama. Mungu tusimamie
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad