Breaking News: Familia ya Mo Dewji Kutoa Bilioni Moja kwa Atakayetoa Taarifa Wapi Alipo Mo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Breaking News: Familia ya Mo Dewji Yatangaza Kutoa Bilioni Moja kwa Atakayetoa Taarifa Wapi Alipo Mo
Familia ya Dewji imetangaza zawadi ya Tsh. Bilioni Moja (1,000,000,000) kwa mtu yeyote ambaye atatoa taarifa ambazo zitawezesha kupatikana kwa Mohammed Dewji.

Kauli hiyo imetolewa hivi punde na familia ya Mo Dewji wakati ikizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kampuni ya MeTL Group zilizopo katika jengo la Golden Jubilee TowersPosta jijini Dar es Salaam.

Mwenye taarifa anaweza kuwasiliana na mwanafamilia Murtaza Dewji kwa namba 0755030014, 0717208478, 0784783228 na email ya findmo@metl.net
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad