Penzi la Linah na Baba Watoto Wake Ladaiwa Kuvunjika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Penzi la staa wa Bongo fleva Linah Sanga na mwanaume aliyezaa naye mtoto mmoja anayejulikana kama Mchomvu linadaiwa kuvunjika pamoja na kuwa katika tarartibu za ndoa.

Global Publishers wanaripoti kuwa Penzi la wawili hao limeota mbawa wakati wakiwa kwenye taratibu za kufunga ndoa.

Linah na mzazi mwenzake walianza kuingia kwenye mgogoro baada ya mwanadada huyo kujifungua mtoto wake huyo. Ilisemekana kwamba, mara kadhaa wamekuwa wakikalishwa chini na kuyamaliza mambo yao kichinichini bila mtu yeyote kujua kisha wanaendelea na uhusiano kama kawaida.

lakini inadaiwa kuwa ugomvi wa wawili hao mara nyingi ulikuwa ni wivu wa kimapenzi hivyo hicho ndicho kilichosababisha uchumba wao huo kuvunjika ambapo mpaka sasa kila mmoja anamuona mwenzake mchungu.

Hakuna cha zaidi kilichovunja uchumba ni wivu tu ndiyo ulikuwa ukiwatafuna wote wawili mpaka kufikia hatua ya kuvunjika kwa penzi lao”.

Baada ya taarifa hizo gazeti hilo lilimsaka Linah na kumuhoji kuhusu taarifa hizo ambapo alifunguka na kukiri kuwa hayupo na mpenzi wake:

Hivi kwani ukizaa na mtu mpaka muoane? Ndio hivyo Lakini Sitaki kuongea zaidi kuhusu iyo ishu”.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad