Hii Hapa Kauli ya Lowassa Katika Kongamano la Mwalimu Nyerere

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Hapa Kauli ya Lowassa Katika Kongamano la Mwalimu Nyerere
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa amempongeza Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally kwa kauli aliyoitoa hivi karibuni ya kuwa serikali ya 2010 haikuwa na uhalali kisiasa.

 Lowassa ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mjadala wa Miaka 19 ya kumbukizi ya kifo cha hayati Mwalimu Julius Nyerere iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ambapo wasomi mbalimbali walishiriki kwenye mjadala huo.
“Nimpongeze Katibu Mkuu mpya wa CCM, nimezisikia cheche zako, nasubiri Uchaguzi wa 2020 kama utarudia kauli yako kuhusu uchaguzi wa 2010. Pia nawaomba Chuo Kikuu msikae kimya kama ilivyokuwa wakati  wetu kwa matatizo yanayotokea nchini“, Lowassa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad