Kajala Awaonya Wasanii Wanaoendekeza Bata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kajala Awaonya Wasanii Wanaoendekeza Bata
Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali Kajala Masanja amefunguka na kuwatolea uvivu Wasanii Wenzake ambao wamekuwa wakijianika Kwenye mitandao ya kijamii wakila bata tu.

Kajala amefunguka na kusema zama za kutafuta sifa kwa kuonekana unakula sana bata zimepitwa na wakati kwani hivi sasa watu wanaangali zaidi kazi na kufanya mambo ya maendeleo.

Kwenye mahojiano yake Gazeti la  Risasi Jumamosi, Kajala alisema yeye kuna wakati alijisahau na kujikita kwenye mambo hayo lakini sasa ameshtuka na ndio maana hawezi kuonekana viwanja ‘akitumbua’ pesa.

Unajua huu ni wakati wa mastaa kushituka na kufanya mambo yatayowasaidia wao na familia zao siku za baadaye. Mimi nimestuka, niliyokuwa nayafanya siyo mazuri ila sasa nafanya yale ambayo mtu makini anatakiwa kuyafanya“.

Kajala ni mmoja kati ya wasanii ambao wamekuwa wakionekana busy kabisa na kupiga kazi kama mtangazaji na balozi wa Biko Tanzania.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad