Makamu wa Rais Ampongeza Waziri Mbalawa kwa Hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makamu wa Rais Ampongeza Waziri Mbalawa kwa Hili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa kwa kazi kubwa inayofanywa na Wizara yake kwa kuhakikisha wanatatua kero ya maji.

“Nachukua nafasi hii kukupa pongezi maalum kwa kazi nzuri inayofanywa na wizara yako pamoja na kasi ya kuhakikisha maji yanapatikana Tanzania, naiona kampeni ya kumtua ndoo mama inaenda kutimia” Mama Samia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad