10/11/2018

Mambosasa Atema Cheche Kutekwa kwa Mo Dewji "Haiwezekani Wakaingia Kirahisi Namna Hii"

Mambosasa Atema Cheche Kutekwa kwa Mo Dewji "Haiwezekani Wakaingia Kirahisi Namna Hii"
Haiwezekani mahali hapa watu wakaingia kirahisi namna hii, cctv camera haionyeshi vizuri upande walioingilia, kwa hiyo pengine yalikuwa ni maandalizi ya kuweka mazingira hivyo, lakini pia walipiga risasi juu na kumteka kumuingiza kwenye gari, kitendo hicho sio chepesi hakuna filimbi iliyopigwa, hakuna mayowe mpaka taarifa tunakuja kuipata baadaye kiasi hicho”. - Kamanda wa Polisi Kanda maalum Dar es salaam Lazaro Mambosasa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger