Mapovu Yamewatoka Kama Yote Kisa Kumuanika Mwanaume Wangu- Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mapovu Yamewatoka Kama Yote Kisa Kumuanika Mwanaume Wangu- Wema Sepetu
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu amewafungukia watu ambao wanamsema maneno ya kashfa kufuatia kumuanika mumewe mtarajiwa, Patrick Christopher ‘PCK’.

Wema aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, yeye ana uamuzi wake binafsi wa kufanya anachotaka kwenye maisha yake, lakini anashangaa watu wengine wanamuingilia mpaka kwenye maisha yake binafsi na kutokwa povu. “Yaani watu wametokwa na povu kama lote, kisa tu mimi kumuonesha mwanaume wangu, sasa hata wakiungana dunia nzima kunisema, kama nimeshampenda watanibadilisha vipi?” alihoji Wema.

Wiki iliyopita ulizuka mjadala mzito kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram baada ya Wema kutupia picha ikimuonesha akiwa kitandani na mwanaume huyo na kuweka wazi kuwa ndiye mumewe mtarajiwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad