Radi Yaua Watoto 6 na Wengine 25 Kujeruhiwa Geita

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Radi Yaua Watoto 6 na Wengine 25 Kujeruhiwa Geita
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Emaco Vision English Medium ya Mjini Geita wamefariki dunia na wanafunzi wengine 25 wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa darasani.



Ofisa Elimu Msingi wilayani Geita, Yese Kanyuma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema radi mvua kubwa iliyoambatana na radi imenyesha leo asubuhi na kusababisha madhara hayo.



“Tukio hilo ya radi imetokea leo majira ya saa 3 asubuhi na kusababisha vifo vya wanafunzi sita wa darasa la pili na la tatu, wengine 25 wamejeruhiwa lakini wanaendelea na matibabu wodini. Tunawashukuru madaktari na wauguzi kwajitihada zao kuokoa maisha ya watoto hao waliojeruhiwa,” amesema Kanyuma.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad