Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mpya...Bi Sophia Simba Ndani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika teuzi hizo, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya(MUHAS), Prof. Charles Anael Mkonyi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mifupa(MOI)

Bi. Mwamini Juma Malemi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti Bodi ya Sukari

Pia, Rais amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

Aidha, Dkt. Mwanza Kamata ameteuliwa kuwa Mwenywkiti wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TANTRADE) akichukua nafasi ya Christopher Chiza aliyekuwa Mbunge

Dkt. Maria Mashingo amateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo(TIB) akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba Kabudi

Rais Magufuli amefanya utezi wa Wenyeviti hao baada ya waliokuwepo kumaliza muda wao na wengine kuteuliza katika nyadhifa mbalimbali
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad