Rais Magufuli Awapa Mtiani Mgumu Taifa Stars Awamwagia Mamilion Kuimaliza Lesoto "Mkizingua Mtaitapika"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli Awapa Mtiani Mgumu Taifa Stars Awamwagia Mamilion Kuimaliza Lesoto "Mkizingua Mtaitapika"
Rais John Pombe Magufuli amekabidhi kiasi cha Sh Sh milioni 50 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Lesotho.

Rais Magufuli amefanya hivyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mbele ya wachezaji na viongozi wa Taifa Stars aliowaalika.




Baada ya kuzungumza na kuwasisitiza kuhusiana na ushindi, alikabidhi fedha hizo kwa Rais wa TFF,  Wallace Karia pamoja na mmoja wa manahodha wa Stars, Erasto Nyoni.
Pamoja na hivyo, Rais Magufuli aliwasisitiza Taifa Stars kuhakikisha wanashinda mchezo huo.

“Ninakuamini Amunike, ninajua utafanya vizuri na kuwasaidia vijana wetu. Lakini ninachotaka ni ushindi. Vijana wapambane na kushinda.

“Fedha (Sh milioni 50),nilizotoa zitumike kwa wachezaji, nafata ushindi, mkishindwa mtazitapika kwa njia nyingine,” alisema Rais Magufuli akionyesha amenuia Stars kuona inashinda.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad