Mtoto wa Gadner Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Petiti Man

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto wa Gadner Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Petiti Man
Ile ndoa iliyokuwa imetrend wiki hii ikisemekna kuwa ni ndoa halali kati ya Careen Gadner na Petit haikuwa ndoa baliilikuwa ni kutengeneza muamko wa watu kukaa tayari kwa ajili ya kitu kipya alichotaka kuwaletea mashabiki wake.

Akiongea kwenye leo tena, careen anasema kuwa haikuwa ndoa bali ilikuwa attention ya wimbo tu.
ion ili watu wakae tayari kwa ajili ya ngoma yangu mpya, haikuwa  kiki pia, nilikuwa naogopa sana familia yangu kwa sababu sikutaka wazione picha zangu ndio maana petiti alizitoa za kwake.

nilianza ghafla tu kumchukua petiti kwa sababu tayari watu walishaanza kuwa natoka na petit na ili kuua ile stori ikabidi tutoe video ya washa.

Hivyo careen anawathibitishia mashabiki wake kuwa hakukuwa na ndoa wala mahusiano yoyote kati yake na Petit.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad