Zari The Bosslady Aamua Kuchukua Maamuzi Magumu ya Kuwafutilia Mbali Wanaomnyima Amani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari The Bosslady: Sio Lazima Kumnga’anga’nia Mtu Futilia Mbali

Mrembo Zari The Bosslady amezidi kutoa ushauri kwa wale wanaomfutialia kwenye mitandao ya kijamii.

Zari kwa sasa ameshauri kuwa hakuna ulazima wa kuendelea kuwa na watu ambao wanaondoa furaha yake kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

"Sio lazima kunga’anga’nia mtu anaesumbua na kuondoa amani yako katika mitandao ya kijamii na hata maisha kwa ujumla futilia mbali watu kama hao."-Zari

Zari The Bosslady ambaye anaishi Afrika Kusini na familia yake ni miongoni mwa warembo wenye ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii akiwa na followers zaidi ya Milioni 4 kwenye ukurasa wake Instagram.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad