Amber Rutty na Mpenzi Wake Mambo Yawachachia Mahakamani Warudishwa Rumande

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amber Rutty  na Mpenzi Wake Mambo Yawachachia Mahakamani Warudishwa Rumande
Video vixen wa Bongo, Rutyfiya Abubakary maarufu kwa jina la Amber Rutty na mpenzi wake, Said Bakari Mtopali wanaoshtakiwa kwa makosa mawili likiwemo la kufanya mapenzi kinyume na maumbile wanaendelea kusota rumande kwa kukosa wadhamini.
Kesi hiyo iliyokuwa ikiendelea leo Jumatatu, Novemba 12, 2018 Katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Agustino Lwizile ameuomba wadhamini wa watuhumiwa hao wajitokeze kwa ajili ya kuwawekea dhamana lakini wakakosekana.
Kesi hiyo ya Amber Luty na watuhumiwa wenzake wamefika mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi yao ambayo ilikuwa imekuja kwa ajili ya kutajwa ambapo baada ya kukosekana kwa wadhamini, mhuhumiwa huyo wamerudishwa rumande na kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu ambapo itarudi kwa ajili ya kutajwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad