Hatimaye Queen Darleen Amuanika Mpenzi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Qeen Darling Amuanika Mpenzi Wake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya muziki ya WCB chini ya Diamond Platnumz Queendarleen ameweza kumpost mwanaume anayedai ndio mpenzi wake kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.



Mara ya mwisho Queendarleen katika moja ya Interview aliyofanya na Bongo five alisema kuwa haoni ulazima wa kumuweka hadharani mpenzi wake kwani haina maana ya kumuweka hadharani.

Aliongeza kuwa ” Yeye haishi maisha ya kujianika hadharani na mpenzi wake kwahiyo haoni umuhimu wa kumuanika hadharani’

aliogea hayo kutokana na swali aliloulizwa kwamba inasemekana wako kwenye mahusiano na msanii mwingine wa WCB ambaye ni Mbosso.

Akiadhimisha miaka kadhaa ya maisha yake Queendarleen alimpost mpenzi wake huyo na kusema ” I L❤ MYBOYFRND nitakumic sana ikianza #WasafiFestival😔”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad