Waziri wa Mambo ya Ndani Wa Afrika Kusini Ajiuzuru Nafasi Yake Baada ya Video Yake ya Ngono Kuvuja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndani Wa Afrika Kusini Ajiuzuru Nafasi Yake Baada ya Video Yake ya Ngono Kuvuja
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini, Malusi Gigaba, amejiuzulu nafasi yake hiyo wiki mbili baada ya kipande cha video inayomuonesha akijichua kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa mapana nchini humo.



Taarifa kutoka ofisi ya rais ilisema Bw Gigaba ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama tawala African National Congress-ANC , kujivua nafasi zao kwa heshima ya nchi yake na harakati zinazomhusu.

Bwana Gigaba amevishutumu vyombo vya usalama nchini Afrika Kusini kwa kudukua simu yake na kuachilia kipande cha vido chenye urefu wa sekunde kumi na tatu , ambayo alijitetea kuwa alimrekodia mkewe.

Gigaba ana umri wa miaka arobaini na saba , miaka ya hivi karibuni amejikuta katika mkanganyo wa mambo kutokana na kutumia madaraka yake vibaya katika huduma mbalimbali na kuisaidia familia ya wafanyabiashara ya Gupta yenye utata.

Wafanya biashara hao wenye asili ya nchini India wanahusishwa sana na kashfa kadhaa za rushwa chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma.katika kila hali ikiwa ni pamoja na Bwana Gigaba, wamekana makosa yoyote.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad