Hivi Ndivyo Mama Samia Alivyomuita Mbowe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi Ndivyo Mama Samia Alivyomuita Mbowe
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro katika Wilaya ya Hai na kuzungumza na umati wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza.



Katika Ziara hiyo aliongozana na Mawaziri wawili, waziri wa Tamisemi Selemani Jafo na Wilium Lukuvi.



Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu alidai kutamani sana kusikiliza changamoto za wakazi wa Hai kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni Mbunge wao ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe lakini hakuwepo katika mkutano huo.



“Nilitamani mbunge wenu awe hapa atueleze mafanikio na changamoto zenu lakini hayupo, “ alisema Samia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ameonesha Dharau, na ameshindwa kuwadhihirishia wana Hai kwamba yeyeyuko mbele katika kutatua adha zao..!!!!
    Je wasipo mpa Kula 2020 atamlaumu Kubenea au Mashinji manake Waitara amesha ona Jua na kanusurika.
    Wana Hai oyeeeee!!!! Madiwani wa Hai Safiiiiii!!!

    ReplyDelete
  2. Kwani hawezi waita hao anaowahutubia wakamwambia matatizo yao mpaka mwakilishi? Mwakilishi anapeleka shida za wananchi bungeni.

    ReplyDelete
  3. Wasipende kuwaaminisha wananchi kwamba viongozi wao hawawatumikii na kuwakilisha vyema. Aite wananchi wenye hoja ambazo zinawakabili awatatulie. Alienda onana na wawakilishi au wananchi?

    ReplyDelete
  4. Wasipende kuwaaminisha wananchi kwamba viongozi wao hawawatumikii na kuwakilisha vyema. Aite wananchi wenye hoja ambazo zinawakabili awatatulie. Alienda onana na wawakilishi au wananchi?

    ReplyDelete

Top Post Ad