Mabosi Wapya Simba Hawa Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mabosi Wapya Simba Hawa Hapa
Imeelezwa kuwa wajumbe wa muwekezaji, Mohamed Dewji 'Mo' wamepatikana ili kuunda bodi ya wakurugenzi wa Simba, wakurugenzi hao wataungana na wajumbe  waliochaguliwa na wanachama ili kuunda rasmi bodi ya wakurugenzi ndani ya klabu ya Simba kutokana na mabadiliko ya uendeshaji.

Wajumbe walioteuliwa kwa upande wa Mohamed Dewji, 'Mo' ni pamoja na Mohamed Nassoro, Hans Poppe, Dr Mohamed Janab, Muslay Lowei, Babla Gonzaranz na Octavian Umshio.

Katiba ya Simba inampa nafasi Mwenyekiti Sued Mkwabi kuteua wajumbe, amewateua Hassan Kapusi na Salim Abdallah 'Try again' ambaye aliwahi kuwa kaimu nafasi ya Rais na aliacha kugombeaa baada ya kusema kuwa amewaachia wengine kupata nafasi.

Wajumbe wapya walioteuliwa ni pamoja na Asha Baraka, Dr Zawad,Hussen Kitita,Seleman Harub na Mwina Kaduguda.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad