Meninah Afunguka Kilichompoteza Kwenye Gemu

Meninah Afunguka  Kilichompoteza Kwenye Gemu
Msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye ni zao la BSS 2012, Meninah Atik amesema alikuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na kulea ambapo kwa sasa mwanaye ana umri wa mwaka mmoja hivyo anarudi kwenye gemu.  Akizungumza na Over Ze Weekend, Meninah alisema kwenye ulezi kuna mambo mengi hivyo ilikuwa lazima atulie ili amlee mtoto kwanza.

“Ulezi una kazi sana hivyo niliamua kulea kwanza, lakini mpaka sasa niko vizuri siku si nyingi mashabiki wangu watanisikia tena kama kawaida,” alisema Meninah.

HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Meninah Afunguka Kilichompoteza Kwenye Gemu Meninah Afunguka  Kilichompoteza Kwenye Gemu Reviewed by Udaku Special on November 12, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.