Rais Magufuli Afanya Uteuzi Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Huu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Lutengano Undule Mwakahesya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Mwakahesya umeanza tarehe 21, Novemba 2018.

Dkt. Mwakahesya aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mwaka 2016.

Taarifa rasmi ya Ikulu hii hapa chini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad