Sarah wa Harmonze Ategemea Kujifungua Hivi Karibuni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sarah wa Harmonze Ategemea Kujifungua Hivi Karibuni
Mwanadada Sarah ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Harmonize anasemekana kuwa katika hali ya ujauzito na ndo maana mwanadada huyo kwa sasa amekuwa haonekani sana katika mitandao ya kijamii mara kwa mara.

Mwanadada huyo ambae anasemekana kuwa hali yake ya ujauzito umekuwa ikimfanya kuwa mbali na mitandao kwa sasa na hata kuamua kurudi kwanza nyumbani kwa ajli ya kujiangalia kutokana na hali yake.

Iliwah kusemnekana kuwa mwanadada huyo na mpezni wake kuwa wameachana lakini Harmonize alikanusha taarifa hizo na kusema kuwa aliamua kwenda nyumbani  mara moja lakini atarudi.

sarah na harmonize wamekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na hata mfanikio ya mahusiano yao ni pamoja na  mtoto wanaemtarajia sasa hivi,
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad