Sister P Kurudi Tena Kwenye Bongo Fleva

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sister P Kurudi Tena Kwenye Bongo Fleva
Msanio mkongwe wa muziki wa Bongo fleva aliyewahi kusambaa Kama mmoja wa Wasafi wanaochana miaka ya hiyo Happy Pela ‘Sister P’ ametangaza kurudi tena kwenye gemu.

Sister P ametangaza Kurudishwa kwenye gemu na mwanadada Matata ambaye ameamua kumsimamia ili aonyesha kipaji chake cha kuchana alichokuwa nacho tangu zamani.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, Sister P anayetamba na Ngoma ya Tingisha alisema kuwa, kipaji anacho sana ila alikuwa hana mtu wa kumuinua na kumsimamisha hivyo anamshukuru sana Matata kwa kumfikisha alipo.

Yaani naamini hata upoteeje Mungu anaweza kukuibua kivingine kabisa kama alivyomleta Matata, yaani hapa nilipo niko vizuri kabisa na hata kama nilipotea kwa kukosa muongozo sahihi huyu dada ameniinua vilivyo kabisa“.

Miaka ya nyuma Sister P aliwahi kutamba na ngoma yake inayoitwa ‘Anakuja’ lakini alijizolea umaarufu zaidi Baada ya kuwa na Bifu na msanii mwenzake anayeitwa Zay B.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad