Tiwa Savage aipeperusha bendera ya Afrika MTVEMA atwaa tuzo ya Best African Act 2018, awabwaga wasanii hawa wakubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada kutoka nchini Nigeria Tiwatope Savage-Balogun alimaarufu Tiwa Savage amefanikiwa kutwaa tuzo ya MTVEM katika kipengele cha Best African Act 2018 katika tuzo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo katika jiji la Bilbao  nchini Uhispania.


Ikumbukwe tuzo hiyo ilikuwa chini ya Msanii kutoka Nigeria Davido aliyoshinda mwaka 2017 katika tuzo zilizofanyika London nchini Uingereza.


Tiwa amefanikiwa kushinda tuzo hii kwa kuwabwaga akina Davido kutoka Nigeria, Fally Ipupa kutoka Congo, msnii kutoka Kenya Nyanshiski,Shekhinah kutoka Afrika ya kusini na kundi la Destruction boys kutoka nchini Afrika ya kusini pia,wote hawa walikuwa katika kinyang’anyiro hicho cha kumtafuta Best African Act 2018.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad