Amber Lulu alizwa Tena na Mapenzi Aporomosha Mvua ya Matusi Mitandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amber Lulu alizwa Tena na Mapenzi Aporomosha Mvua ya Matusi Mitandaoni
Mwanadada Amber Lulu ameonekana kuumizwa tena na maenzi ingawa  hajataka kuweka wazi kwanini kile alichkionyesha katika ukurasa wake wa instagram alikuwa akikimaanisha.

Katika ukurasa wake huo, mwanadada Amber Lulu aliweka  picha yenye kutukana kwa kiais kikubwa sana swala la mapenzi na kuonekana kama vile ni kitu ambacho kiemuumiza san

Katika ukurasa wake hata  baada ya kuweka picha hiyo mashabiki walianza kumuuliza kuhusu swala la kuyatukana mapenzi , na kwanini amekuwa akionekana kama mtu mwenye uchungu sana na swala hilo.

ikumbukwe kuwa  Amber Lulu alikuwa katika mahaba mazio sana na mwanaume wake prezzo kutoka kenya ambae alikuwa akimsifia kuwa ndie mwanaume mwenye kuma furaha muda wote tofauti na wale wa nyjma ambao walikuwa wakipa stress kila siku.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad