Amber Rutty na Mpenzi wake Wamekubali Kuishi Maisha ya Kumpendeza Mungu - Mchungaji Mashimo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchungaji, Daudi Mashimo amesema kuwa  msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na mpenzi wake Said Bakary baada ya kumdhamini msanii huyo yeye na mpenzi wake wamekubali kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.

Mchungaji Mashimo akizungumza EATV, amesema kuwa Amber Rutty na mpenzi wake alizungumza nao mambo mengi kwaajili ya maisha yajayo

"Kama mimi mchungaji mtumishi wa Mungu nimezungumza nao mambo mengi kwaajili ya maisha yajayo na hali iliyokuwepo ni watu ambao kweli kweli ni watu ambao mioyo yao imekunjuka na kufunguka na ni watu ambao wamekubali kuishi maisha ya kumpendeza Mungu,"alisema Mchungaji Mashimo.

Novemba 2, 2018 walifikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad