Linah Sanga 'Sitamani Kuolewa Nataka Nichill Kwanza'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa Muziki, Linah amefunguka kuhusu kuolewa.

Lina amesema kuwa kwasasa hatamani kuolewa ila ameona atulie huku akimwaga sifa za mwanaume anayemtaka.

"Nataka mwanaume mwenye mapenzi, Matundo na mwenye kujali, sitamani kuolewa natamani kwasasa hivi ni chill kwanza," alisema Lina Dizzim Online.

Lina kwasasa anatamba na kibao cha wimbo wake mpya unaitwa 'TulizaBoli'.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad