Dawa ya Kukinga Malaria Kwenye Damu na Ini Mbioni Kupatikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watafiti nchini Marekani wanaendelea na uchunguzi wa kinga itakayokuwa inadhibiti maambukizi ya Malaria kabla mashambulizi kutokea

Kwa muda mrefu watafiti wamefanikiwa kutumia kemikali kuua vimelea vya Malaria

Wanasayansi wanamatumaini ya kupata dawa itakayokuwa inaua vimelea vya Malaria kwenye ini na mfumo wa damu

Dawa hiyo inatarajiwa kukinga maambukizi kwa muda wa miezi 3 hadi 6
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad