AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rammy katika mahojiano yake na kwenye show ya The Playlist ya Times FM alipoenda kuzungumzia uzinduzi wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Hukumu itakayozinduliwa Disemba 15, 2018 City Mall Dar es Salaam amesema kuwa kila msanii anamvuto wake.
"Kila mmoja ana mvuto wake ila nitake kusema anenivutia kwenye tasnia ya Filamu ni Rose Ndauka, Riyama Ally, Irene uwoya wapo wengi sana," amesema Rammy Galis
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK