Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA , Salum Mwalimu Akamatwa na Jeshi la Polisi Iringa


Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, leo Jumapili, Desemba 16, 2018 amekamatwa na polisi Mafinga mkoani Iringa akiwa anaelekea kwenye kikao cha ndani cha chama chake.


Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene amesema Mwalimu alikamatwa akiwa katika gari akielekea katika kikao hicho, akitokea Kanda ya Nyasa.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA , Salum Mwalimu Akamatwa na Jeshi la Polisi Iringa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA , Salum Mwalimu Akamatwa na Jeshi la Polisi Iringa Reviewed by Udaku Special on December 16, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.