VIDEO: Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu kutangaza baadhi ya mambo ambayo yamefanywa na Rais Magufuli kufuatia Tundu lissu kufanya ziara katika baadhi ya nchi barani Ulaya.


Makonda ameandika "shukrani kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema''.

"Wengi walioko jimboni Singida na watanzania wote walihangaika kwa sala na maombi, usiku na mchana, wengine wakichanga pesa zao na hatimaye mola akajibu maombi yao." ameandika Makonda.

"Kwa heshima na kuonyesha uzalendo, nakushauri Kaka yangu Tundu Lissu rudi nyumbani utoe shukrani zako kwao. Watu wako wamekumiss zaidi ya hao unaowakimbilia hivi sasa."

"Ziara yako huko haina tija kwa yoyote, na kuichafua Serikali si kumchafua Mh. Rais ni kuichafua Tanzania yetu sote na wewe ukiwemo."


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad