Nay ataja kitu kibaya alichokatazwa na mama yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Nay wa Mitego amesema kuwa sababu ya yeye kusitisha kuonesha mali zake anazomiliki ni kutokana na kukatazwa na mama yake.


Akizungumza katika Friday Night Live (FNL) ya EATV, Nay amesema kuwa mwanzo alikuwa naonesha magari, nyumba, na biashara zake kwasababu mama yake hakuwa akijua, lakini alipokuja kugundua alimpiga 'Stop'.

"Mimi nimeacha hivyo vitu, huwa namsikiliza sana bi mkubwa wangu (mama), alikuwa hajuagi mambo ya mitandaoni lakini ilifika 'time' kuna mtu akaenda kumuonesha baadhi ya vitu akaniambia "no mimi sipendi hivi", amesema Nay.

"Kama una kitu na unataka kuoneakana basi kawatolee watu", ameongeza Nay.

Nay ameachia wimbo wake mpya wiki hii unaojulikana kwa jina la "Mbele kwa mbele", na unaonekana kupokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad