Ebitoke Akumbwa na Skendo Ya Kujichubua Ngozi....Mwenyewe Adai Joto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa maigizo Bongo Annastazia Exavery maarufu kama Ebitoke amejikuta kwenye kituo cha moto Hivi karibuni Baada ya kukumbwa na skendo ya kujichubua.

Taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinadai msanii huyo ameangaliwa sana na mashabiki zake ambao wamedai kuwa anazidi kuwa mweupe kadri siku zinvyozidi kuenda ingawa Ebitoke amekataa kabisa Skendo hizo.

Katika mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Ebitoke alisema weupe wake umetokana na joto kuwa kali na katika vitu ambavyo hawezi kuvifanya ni kujichubua kwa sababu anaelewa wazi kuwa kuna madhara makubwa endapo atafanya hivyo.
Najua madhara ya kujichubua siwezi kufanya hivyo kama watu wanavyonituhumu, nimebadilika na  mweupe siku hizi tofauti na zamani kwa sababu ya joto tu na siyo vinginevyo”.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad