Idriss Afunguka Ukaribu Wake na Mobetto "Kuongozana Nae si Kosa Mimi na Yeye ni Washkaji Tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Idriss Afunguka Ukaribu Wake na Mobetto "Kiongozana Nae si Kosa Mimi na Yeye no Washkaji Tu"
Mchekeshaji maarufu nchini, Idris Sultan amefunguka kuhusiana na tuhuma zinazoendelea mtandaoni ambazo zimehusisha uhusiano wake na mwanamitindo, Hamisa Mobetto.


Idris amesema kuwa sio kila mwanamke anayekuwa karibu naye ni mpenzi wake, kwani ana marafiki wengi wa kike na hajawahi kuwa na uhusiano.

"Mimi kuongozana na Hamisa sio kitu cha ajabu maana ni washikaji kitambo", amesema Idris.

“Halafu mmesahau kwamba mimi na Hamisa ni washkaji kitambo tu?. Sasa kwa nini leo muanze kusema natoka naye?, sio kila mwanamke ninayekuwa naye karibu basi natoka naye, wengine ni washkaji kama hivi", ameongeza.

Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii zilisambaa taarifa zilizodai kuwa wawili hao wana uhusiano wa siri na wamekuwa wakiongozana kila mahali, hivyo kupelekea wengi kuhisi moja kwa moja kuwa wawili hao kuwa watakuwa kwenye uhusiano kwakuwa hakuna ambaye ameweka wazi uhusiano wake mpaka sasa.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Idrisa anapenda makombo ya Diamond, Wema Plus sasa Mobetto

    ReplyDelete

Top Post Ad