Mama na Mtoto Wafariki Baada ya Kukanyaga Waya wa Umeme

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KILOSA, MOROGORO: Mwanamke mmoja na Mtoto wake wamefariki dunia baada ya kukanyaga waya wa umeme uliokuwa umeanguka chini baada ya kukatika kutoka kwenye nguzo

Waya huo ulikatika kutokana na mvua kubwa zinazoendele kunyesha Wilayani humo

Tukio hili la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kata ya Kikwalaza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad