1/15/2019

Mpenzi wa Diamond aibua hisia kali kwa mashabiki


Mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, Tanasha amewatibua mashabiki wanaofuatilia mahusiano yao 
mara baada ya kuyaweka wazi mwishoni mwa mwaka jana. 

Mrembo huyo kutokea nchini Kenya amechapisha ujumbe kwenye mtandao wa Snapchart ukiashiria kuna kitu kikubwa kinakuja Marchi mwaka huu. 

"March 2019...something cooking," ameandika Tanasha na kumalizia na alama zinazowakilisha upendo na ndoa. 

Kauli hiyo inakuja siku moja baada ya kutambulishwa kwenye familia ya Diamond. 

Sasa mashabiki wengi amekuwa na hisia kuwa tarehe hiyo itakuwa ni kwa ajili ya ndoa yao na si vinginevyo. Utakumbuka kuwa muimbaji huyo alipanga kufanga ndoa February mwaka huu ila akatangaza kusogeza mbele tarehe ya ndoa. 


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Loading...
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger