Nikisema simjui Dudu Baya nitakuwa najichumia dhambi - Harmorapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nikisema simjui Dudu Baya nitakuwa najichumia dhambi - Harmorapa
Mara baaba ya kipindi cha nyuma kutibuana, kwa mara ya kwanza Harmorapa amezungumzia uhusiano na Dudu Baya ulivyo kwa sasa.

Harmorapa ameeleza kuwa anamjua vizuri Dudu Baya ingawa hawajawahi kukutana wala kuwasiliana na ugomvi wao ulikuwa kwenye mitandao tu.

"Konki, kwanini nisjimjue nikisema simjui nitakuwa najichumia dhambi hata kwa Mungu, kama inafikia hatua ya kunizungumzia ina maana anajijua na mimi namjua yeye nani," ameeleza Harmorapa.

Utakumbuka mara baada ya Harmorapa kuingilia kati kitu ambacho Dudu Baya alikiita ni vita dhidi ya ushoga, Dudu Baya alihaidi kumpatia kichapo msanii huyo mwenye matukio ya aina yake kwenye muziki.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad