Rais Magufuli “Mwanzo Tumeliwa, Tumechapwa Sana, Nikatumbua Mkurugenzi TCRA”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STORIES Rais Magufuli “Mwanzo tumeliwa, tumechapwa sana, nikatumbua Mkurugenzi TCRA”
Rais  John Magufuli amesema wakati anaingia madarakani alikuwa haridhishwi na utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa sababu nchi ilikuwa inaibiwa sana huku baadhi ya Vongozi wa Serikali wakishiriki katika jambo hilo.

Amesema kutokana na jambo hilo aliamua kuutafuta mkataba halisia ambao ulifutwa hususani kipengele cha kukusanya fedha katika makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano hakikuwepo.

“Mwanzoni wakati naingia madarakani sikuridhishwa sana na utendaji wa TCRA, palikuwa na mchezo mbaya sana, tumeibiwa mno, hakuna siri tumechapwa kweli, tumeliwa kweli” Rais Magufuli

“Nikatumia mbinu zangu na Vyombo vya Ulinzi vya Tanzania vinavyojua kuchokoa vizuri sana mkataba original ukapatikana na nikatengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TCRA Dr. Simba na kupeleka mapendekezo Bungeni ili kukirudisha kile kipengele” Rais Magufuli.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad