Rais Museveni APIGA marufuku MAKAMPUNI ya kubashiri na kubeti nchini Uganda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ametangaza rasmi kuyafutilia mbali makampuni ya michezo ya kubashiri na kubeti nchini humo.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha nchini humo,
David Bahati amesema Rais Museveni pia amekataza kutoa leseni za usajili kwa makampuni hayo.

“Wizara imepokea maagizo kutoka kwa Rais akitaka makampuni yote ya kubet na kubashiri kufungwa mara moja. Pia katika maagizo yake ametaka Wizara isitishe kutoa leseni za usajili kwa makampuni ya aina hiyo, na tayari Wizara imefanya mawasiliano na bodi ya Michezo ya Kubashiri“amesema David Bahati kwenye hotuba yake fupi katika kanisa la 
Brethren, Dayosisi ya Kigezi Jumapili iliyopita .

Hata hivyo, Bodi ya michezo ya kubashiri nchini humo, kupitia kwa Mwenyekiti wake, Manzi Tumubweine amesema kuwa amepata taarifa hizo lakini hajapokea barua rasmi kutoka serikalini.

Kwa kufuta makampuni hayo, Uganda itapoteza Shilingi Bilioni 50 kwa mwaka .
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad