Zari Awablock Familia ya Diamond... Esma, Romy Waongelea Suala Hilo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Awablock Familia ya Diamond... Esma, Romy Waongelea Suala Hilo
Watu wa karibu na msanii Diamond Platinumz , Rommy Jones ambae ni DJ wake na pia dada wa msanii huyo wamefunguka na kusema kuwa kwao kuona zari kama mama wa watoto wa Diamond akikataa kuhusika na kitu chochote katika familia hiyo hawaoni kama kuna shoda ilhali kwa sasa diamond yupo katika mahusiano na mtu mwingine.

Esma anasema kuwa pamoja na yote yaliyopita kuhusu Zari kwa sasa kaka yake uko na tanasha na hilo kwao ndio mhimu zaidi “hatuwezi kuingilia mahusiano ya Diamond kwa sasa zaidi ya kumpa sapoti tu, kwa sasa yuko na tanasha na sisi tunamsapoti ”


Rommy ambae amekuwa mtu wa karibu na msanii huyo anasema “sioni kama kuna tatzo lolote kuwa blocked na Zari, ila kikubwa tunachokiangalia ni furaha ya diamond hayo mengine kwetu sio muhimi sana “



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad