Kibao Kimegeuka....Mbunge Aeleza CHADEMA Walivyompiga Lissu risasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (CCM) amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kupigwa risasi ulikuwa ni mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Dkt. Mollel ameeleza kwamba CHADEMA waliamua kumpiga risasi tundu Lissu kwa kuwa alionekana anatengeneza umaarufu binafsi na wao wanataka kuuza nchi ndipo walipotumwa watu ambao wamemsababishia majeraha sasa hivi.

Akitilia msisitizo kauli yake, Mollel amesema kwamba katika mabomu ya Arusha yeye alikuwa ni Daktari aliyeiwakilisha CHADEMA kwenye Post moterm na alipotoka aliwataarifu viongozi wenzake juu ya sampuli alizoziiba na kutaka zipelekwe nchi ya Afrika Kusini lakini viongozi hao hawakuzifanyia kazi.

“Mimi nilikuwa huko lakini nilikimbia kwa mipango yao" Mollel.

Hata hivyo, wabunge wa Frank Mwakajoka (Tunduma) na Joseph Selasini (Rombo), kwa nyakati tofauti waliomba kutoa taarifa kuhusu hoja ya Mollel ambapo walimtaka mbunge huyo kuthibitisha kauli zake na kutovunja kiapo chake cha udaktari.

Akijibu kuhusu taarifa hiyo, Dkt. Mollel alidai kuwa ili athibitishe anataka (Chama wanachotoka wabunge hao) (CHADEMA) waeleze wanakopeleka ruzuku za chama hicho.

Awali Mollel alikuwa ni mbunge wa CHADEMA na baadaye kuhamia CCM ambako aligombea tena na kurejea bungeni akiwa amebadili chama, ameliambia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa yeye aliiba sampuli ambazo chama hicho kilimkataza kuzitumia.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad