Mimi na Ruby Hatuongei Wala si Marafiki - Nandy Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa Muziki, Nandy ameeleza kama wanaongea na msanii mwenzake Ruby kwenye ambao wamekuwa wakifananishwa kimuziki.

Nandy amesema kuwa yeye na Ruby wakikutana wanasalimiana lakini si marafiki na wala hawaongei.

"Mimi na Ruby tuko poa, hatuongei na si marafiki sijui mara ya mwisho kumuona ilikuwa mwaka jana sijui hata mwezi wa ngapi hata hatuonani lakini tuko poa tunasalimiana," Nandy ameimbia Mseto East Africa.

Pia Nandy amesema kuwa yeye sio sababu ya msanii huyo kutoka kwenye lebo ya King Empire kama watu wanavyodhani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad