AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hatua hiyo inatokana na maazimio ya wananchi hao na katika kikao chao na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, Jumanne wiki hii baada ya wananchi hao kusema hawana imani na polisi kutokana na kuwakamata wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa kisha kuwaachia na kuwaacha watuhumiwa halisi wa matukio hayo.
Zoezi la kupiga kura lilianza majira ya saa 5:02 asubuhi na kumalizika saa 7:34 mchana, huku likisimamiwa vema na Mtaka.
“Zoezi limekamika, sasa kura zinapelekwa Bariadi kwa ajili ya kuhesabiwa. Watakaohusika na kuhesabu ni Magereza, Usalama wa Taifa, Takukuru (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa), JKT ( Jeshi la Kujenga Taifa) na Idara ya Uhamiaji. Polisi hawatahusika katika kuhesabu kwa sababu wanatuhumiwa kuhusika na matukio hayo,” amesema Mtaka.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK