Wellu Amkingia Kifua Steve Nyerere "Sioni Anachokosea Mitandaoni kila Mtu na Hulka Yake"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wellu Amkingia Kifua Steve Nyerere "Sioni Anachokosea Mitandaoni kila Mtu na Hulka Yake"
MTU na chake! Mwigizaji mwenye umbo matata kunako Bongo Muvi, Wellu Sengo ‘Matilda’ ambaye amezaa na komediani Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemkingia kifua mzazi mwenzake huyo kwa kusema haoni tatizo kwa mambo yake anayoyafanya mitandaoni hasa kuropoka juu ya ishu za mastaa wenzake.  Akizungumza na Gazeti la ijumaa, Wellu alisema hawezi kupitia kila anachokifanya Steve mitandaoni ila kama kuna kitu anaona kina tatizo, huwa anamshauri.

“Sioni sababu na siwezi kupitia kila kitu anachokifanya Steve mtandaoni. Unajua kila mtu ana hulka yake, labda na yeye ndivyo alivyo. Kwa hiyo mimi huwa naangalia vitu muhimu kama anakosea ndiyo tunakaa, tunashauriana,” alisema Wellu aliyezaa mtoto mmoja na Steve.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad