AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Wellu alisema amefurahi kuwa mama na anapenda sana watoto hivyo anategemea kuongeza mtoto mwingine na Steve Nyerere kwani ana malengo ya kuzaa watoto wanne.
“Kwa jinsi nnavyotamani na kupenda watoto nitaongeza mtoto mwingine soon na malengo yangu ni kupata watoto wanne hivyo namuomba Mungu anikamilishie malengo yangu,” alisema Wellu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK