Ndege ya Tano Kumiliki Bondia Floyd Mayweather Jr hii Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Genius wa boxing Floyd Sinclair Joy Mayweather azidi kuonesha jeuri ya fedha kwa kuonesha dege lake la tano kulimiliki kwa sababu ameona ndege nne hazimtoshi yeye pamoja na wapambe wake.

Vilevile kuna tetesi za chinichini kuna uwezekano akapanda tena ulingoni kupambana na Saul Arvarez (Canelo) baada ya mechi kati ya Canelo Vs Daniel Jacobs .

Mechi hiyo kati ya Floyd na Canelo kama itafanikiwa ,Floyd ataingiza kiasi kikubwa sana cha pesa na kuwaacha mbali sana wanamichezo wenzake akiwemo Michael Jordan na Tiger Woods.

Floyd kwa sasa ameshika nafasi ya nane ya wanamichezo wenye pesa nyingi zaidi duniani huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Michael Jordan.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad