Tamasha la JAMAFEST Kufanyika Septemba 21 Mwaka Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tamasha la JAMAFEST Kufanyika Septemba 21 Mwaka Huu
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST
linatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 21 hadi 28 mwaka huu

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Tamasha la
JAMAFEST Mwaka huu  linaongozwa na Kauli mbiu “Uanuai wa Kitamaduni; Msingi  wa Utengamano wa Kikanda,Maendeleo ya Kiuchumi na Kushamiri kwa Utalii.

Tamasha la JAMAFEST lilifanyika kwa mara ya kwanza nchini Rwanda mwaka 2013 ambalo
lilihudhuriwa na washiriki17,500 Kenya ikafuatia mwaka 2015 kwa kuwa na washiriki
21,000 na Uganda mwaka 2017 ambapo washiriki 42,600

Utakumbuka Tamasha la JAMAFEST linafanyika kwa mzunguko miongoni mwa nchi  wanachama wa Jumiya ya Afrika Mashariki kwa kila baada ya miaka miwili kwa mujibu wa maamuzi ya Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki la mwaka 2012.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad