Tanzania Wafanya Mazoezi ya Kijeshi India

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzania Wafanya Mazoezi ya Kijeshi India
Kikosi cha Wanajeshi kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania kinachoshiriki Mazoezi ya Kijeshi ya Pamoja nchini India yanayojulikana kama “Africa-India Field Training Exercise- AFINDEX-2019” kikiwa katika picha.

Mazoezi hayo ambayo yanafanyika katika mji wa Pune nchini India yameanza tarehe 18 Machi 2019.


Lengo kuu la mazoezi hayo pamoja na mambo mengine, yamelenga kujenga uwezo wa majeshi ya nchi zinazoshiriki kulinda amani katika vikosi vya Umoja wa Mataifa duniani ambapo India na Afrika inachangia wanajeshi wengi katika vikosi hivyo.


Mbali na Tanzania, nchi nyingine za Mataifa ya Afrika zinazoshiriki mazoezi hayo ya kijeshi ya pamoja na India ni Afrika ya Kusini, Benin, Botswana, Ghana, Kenya, Mauritius, Misri, Msumbiji, Namibia, Niger, Nigeria, Senegal, Sudani, Uganda, Zambia na Zimbabwe.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad