Benki Kuu Sudan Yapewa Maagizo na Jeshi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Benki Kuu Sudan yapewa maagizo na jeshi
Baraza la Kijeshi linaloongoza serikali ya mpito nchini Sudan limeiamuru Benki Kuu ya nchi hiyo, kuchunguza shughuli zote za uhamishaji wa fedha zilizofanyika kuanzia Aprili 1, na kushikilia fedha zote zinazotiliwa shaka.

Hayo yameripotiwa na shirika la habari la Sudan, SUNA. Baraza hilo pia limeamuru kusimamishwa kwa shughuli ya kubadilishwa umiliki wa hisa, hadi itakapotangazwa vinginevyo.

 Benki Kuu vile vile imeamuliwa kuripoti kwa mamlaka husika, juu ya kufanyika mchakato wowote wa uhamishaji mkubwa, au unaotiliwa shaka ya hisa pamoja na umiliki wa makampuni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad